
AIR MANULA NI MNYAMA MPAKA 2025
KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo. Awali nyota huyo alikuwa anatajwa kuingia anga za Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na kulikuwa na mazungumzo na timu mbalimli. Kipa huyo ni chaguo la kwanza ndani ya Simba ambapo kwa sasa yupo…