
YANGA KAMILI WAANZA KAZI KIGAMBONI,AZIZ KI NDANI YA KAMBI
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara mara 28,Yanga wachezaji wao rasmi wameanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika Mji wa Avic Town, Kigamboni ilipo kambi yao. Jana jioni ya Julai 23.wachezaji wa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi walianza mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Kambi yao haijachelewa kuanza kwa mujibu…