
AZAM KUKIWASHA LEO MISRI KWA MARA YA KWANZA
AZAM FC leo wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wakiwa nchini Misri ambao ni maalumu kwa ajili ya benchi la ufundi kutazama namna vijana wao walivyoweza kuwa imara. Huu unakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Azam FC ambayo inatarajiwa kutumia siku 20 ikiwa Misri kwa maandalizi ya msimu mpya. Kocha Mkuu wa Azam FC,Abdi Hamid Moallin…