
TFF YATOA TAMKO KUHUSU HAJI MANARA
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa. Manara amesema hayo leo Julai 25,2022 kwenye mkutano na Waandishi wa Habari,taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa inasikitishwa na…