TANZANIA YASHINDA MBELE YA SOMALIA
UWANJA wa Mkapa mchezo wa kuwania kufuu CHAN, timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars imeweza kuibuka na ushindi mbele ya Somalia. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Somalia 0-1 Tanzania na kuwafanya Watanzania kuweza kuanza kwa ushindi kwenye mchezo wa leo. Mtupiaji wa bao la Tanzania ni kiungo Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ambaye alipachika bao hilo…