GREALISH ABAINISHA KUWA HAALAND HATAKAMATIKA
KIUNGO mshambuliaji wa Manchester City, Jack Grealish ametabiri kuwa mshambuliaji mpya wa timu hiyo Erling Haaland hatakamatika katika msimu wake wa kwanza ndani ya Premier. Nyota huyo mwenye miaka 22 ameonekana kuwa karibu sana na Grealish baada ya kujiunga na kikosi hicho akiwa kwenye wiki ya kwanza ya mazoezi nchini Marekani. ‘Erling anaonekana yupo vizuri…