AZAM FC YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA

KIKOSI cha Azam FC leo Julai 10 kimeweza kumtangaza kocha mpya wa viungo ambaye atakuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/23. Anaitwa Mikel Guillen kutoka Hispania ambaye atakuwa ni kocha mpya wa viungo wa Klabu ya Azam FC. Guillen ana uzoefu wa kufundisha timu za Aris Limassol ya Cyprus, inayoshiriki Ligi ya…

Read More

BEKI HUYU MPYA KUTAMBULISHWA YANGA

MUDA wowote kuanzia sasa huenda Klabu ya Yanga ikamtambulisha beki wa kushoto raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala kwa ajili ya kujiunga rasmi na timu hiyo. Mkongo huyo anajiunga na Yanga akitokea Bravos do Maqui ya Angola. Pia amewahi kucheza GD Interclube ya Angola, AS Vita (DR Congo) na Mouscron (Ubelgiji). Yanga imelazimika kumshusha…

Read More

TUNAKUKUMBUKA IBRAHIM MRESSY

JUMAPILI ya leo Julai 10 ni miaka mitatu kamili imetimia tangu aliyekuwa mwandishi chipukizi wa Gazeti la Spoti Xtra na Championi Ibrahim Mressy afariki dunia. Ilikuwa ni Julai 10,2019 taarifa za kutangulia kwake mbele za haki zilifika katika kituo chake cha kazi Gloal Pulishers,baada ya kuugua ghafla. Mbali na kuandikikia Magazeti ya Championi na Spoti…

Read More

MBWANA MAKATA APUNGUZIWA ADHABU YA KIFUNGO

MBWANA Makata aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Mbeya Kwanza na meneja wa timu hiyo David Naftari wamepunguziwa ashabu yao ya kutojihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano. Taarifa ambayo imetolewa leo Julai 9,2022 imeweza kueleza kuhusu suala hilo la viongozi hao kupunguziwa adhabu. Awali ilibidi watumikie adhabu ya kutojihusisha na soka kwa muda…

Read More

RAIS NI INJINIA NA MAKAMU NI ARAFAT

INJINIA Hersi Said kwa sasa ni rais wa kwanza ndani ya Klabu ya Yanga baada ya historia mpya kuandikwa. Wanakuwa ni vingozi wa kwanza ndani ya Yanga aada ya kuingia kwenye mfumo wa mabadiliko na kuongozwa na rais ambapo zamani kiongozi mkubwa alikuwa ni Mwenyekiti. Pia Mwenyekiti wa mwisho ndani ya Yanga yenye maskani yake…

Read More

KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, SLOTI YA STICKY 777 INAWEZA KUKUPA FAIDA KUBWA!

Sloti ya Sticky 777 imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa vizuri zikiwa na rangi ang’avu zinazomsaidia mchezaji kuona vizuri ushindi na thamani ya alama hizo wakati wote wa mchezo. Sanjari na hilo, Sloti ya Sticky 777 inamfumo wa muziki ambao unaongeza burudani kwa mchezaji wa sloti hii. Tunapozungumzia umuhimu wa…

Read More