
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
AHMED Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amesema kuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele hakuweza kutamba mbele ya Joash Onyango na Henock Inonga. Aprili 30,2022 Mayele ambaye ni kinara wa utupiaji ndani ya ligi akiwa na mabao 12 aliweza kubanwa asiweze kutetema kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi uliokamilika kwa sare…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema malengo ni kuona kikosi hicho kinamaliza ndani ya tano bora kwa msimu huu wa 2021/22. Ni mechi sita imeshinda kati ya 21 ambazo imecheza kwa msimu huu ndani ya ligi ambao umekuwa na ushindani mkubwa. Imekusanya pointi 28 ipo nafasi ya 5 huku kinara akiwa ni Yanga…
ISSA Azam shabiki wa Simba amesema kuwa Yanga imekata upepo na wameshindwa kuifunga Simba kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa,baada ya dakika 90 ubao kusoma Yanga 0-0 Simba na kuwafanya watani hao wa jadi kugawana pointi mojamoja
MZEE wa Utopolo shabiki wa Yanga kutoka Iringa mkazi wa Majohe amebainisha kuwa kugawana pointi mojamoja na watani zao wa jadi Simba maana yake ni kwamba tabu ipo palepale kwa kuwa wamewazidi kwa pointi zilezile ambazo walikuwa wamewazidi awali. Jumla ya pointi 55 wamefikisha Yanga baada ya kucheza mechi 21 huku Simba ikiwa na pointi…
SHABIKI wa Simba,mzee wa ndani Kisugu ametuma ujumbe kwa watani zao wa jadi Yanga kwa kueleza kuwa watakutana nao kwenye mchezo wa nusu Fainali Kombe la FA
SHABIKI wa Yanga amebainisha kwamba beki wa Simba, Henock Inonga amebahatisha kumkaba mshambuliaji wa timu hiyo Fiston Mayele kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Uwanja wa Mkapa,Aprili 30 wakati timu hizo zilipotoshana nguvu ya bila kufungana kwenye mchezo wa ligi.
KLABU ya Real Madrid imetwaa taji la 35 la La Liga baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Espanyol wakiwa nyumbani. Taji hilo pia linamfanya Kocha Mkuu Ancelotti raia wa Italia kuwa kocha wa kwanza kutwaa mataji makubwa Ulaya katika ligi 5 bora. Aliweza kufanya hivyo England, Hispania, Ujerumani,Italia na Ufaransa. Nahodha Benzema alitupia…
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu ya Uingereza kutoka kwa Shirikisho la Waaandishi wa Habari za Michezo nchini humo. Salah mwenye umri wa miaka 29 amekuwa na msimu mzuri akiwa na klabu yake ya Liverpool baada ya kufanikiwa kufumania nyavu mara…
MANCHESTER City wakiwa na jambo lao hawazuilika baada ya wenyeji Leeds United kuchapwa mabao 4-0. Wakiwa Uwanja wa Elland Road mbele ya mashabiki 35,771 kichapo hicho hakikuepukika kwenye michezo wa Ligi Kuu England. Mabao ya Rodri dk 13,Nathan Ake dk ya 54, Gabriel Jesus dk 78 na Fernandinho dk ya 90+3 yalitosha kuwarejesha kileleni kwa…
LIVERPOOL walikaa kwa muda nafasi ya kwanza kabla ya Manchester City kurejea tena katika nafasi yao walipoweza kushinda mbele ya Leeds United kwa mabao 4-0. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa St James wakiwa ugenini Liverpool ilishinda bao 1-0 dhidi ya Newcastle United Ni Nabt Keita alipachika bao hilo dk ya 19 akitumia pasi ya Diogo…
WAKALA maarufu wa wachezaji raia wa Italia Mino Raiola amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda kwa miezi kadhaa. Wakala huyo aliyekuwa akiwasimamia wachezaji wakubwa duniani kama Paul Pogba na Zlatan Ibrahimovic amefariki akiwa na umri wa miaka 54. Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa…
ZILE tambo za watani wa jadi Yanga na Simba zimekamilika Uwanja wa Mkapa kwa wababe hao kutoshana nguvu bila kufungana. Aprili 30, 2022 mwamuzi Ramadhan Kayoko alikamilisha dk 90 bila ubao kusoma mabao kwa kuwa ilikuwa ni Yanga 0-0 Simba. Sare hiyo ilitawaliwa na matukio ya ubabe mwanzo mwisho ambapo Simba walianza kwa kasi dakika…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili