
NABI:TUTASHINDA MBELE YA PRISONS
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanaga amesema kuwa kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons wanaamini kwamba watashinda. Leo Mei 9, vinara hao wa ligi wanatarajia kusaka pointi tatu mbele ya Prisons ambao nao wanahitaji pointi hizo, Uwanja wa Mkapa. Maandalizi ya mwisho ameweka wazi kwamba yamekamilika na miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa…