YANGA YATINGA FAINALI KWA KUITUNGUA SIMBA

KIKOSI cha Simba kimepoteza mchezo wa hatua ya nusu fainali mbele ya Yanga kwa kufungwa bao 1-0 uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Pablo Franco ameongoza kikosi chake ndani ya dakika 90 na kushuhudia wakishindwa kupata ushindi. Bao pekee la ushind kwa Yanga limefungwa na Feisal Salum ilikuwa dk ya 25 kwa shuti kali akiwa nje…

Read More

BENO KUANZA,KIKOSI CHA SIMBA V YANGA

KIKOSI cha Simba ambacho kitaanza dhidi ya Yanga, Uwanja wa CCM Kirumba kipo namna hii:- Beno Kakolanya Jimmysone Mwanuke Zimbwe Joash Onyango Henock Inonga Taddeo Lwanga Pape Sakho Sadio Kanoute Chris Mugalu Mzamiru Kibu Dennis Akiba Manula Ally Gadiel Kennedy Nyoni Bwalya Kagere Mhilu

Read More

WINGA MKONGO APEWA MIKOBA YA AMBUNDO NA SAIDO

 WAKATI leo nyota wawili wa Yanga, Said Ntibanzokiza na Dickson Ambundo wakitarajiwa kuukosa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba mikoba yao inatarajiwa kuwa mikononi mwa Jesus Moloko. Ni kwenye suala la mapigo ya mipira huru hasa kona ambapo kwenye mechi za hivi karibuni ni Ntibanzokiza alikuwa akitumika mara kwa mara na Ambundo kidogo. Kwenye…

Read More

PABLO AKIRI KUWA YANGA NI WAGUMU

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema wanajua mechi ya leo nusu fainali Kombe la Shirikisho itakuwa ngumu ila watajitahidi kutafuta ushindi mbele ya Yanga Simba ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Kocha Pablo ameweka wazi kwamba maandalizi ambayo wameyafanya yanawapa nafasi ya kuweza kupata…

Read More

YANGA YABAINISHA WAMEUKAMATA MCHEZO DHIDI YA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema wameukamata vizuri mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ni leo Mei 28 mchezo huo ambao umeshika hisia za mashabiki wengi unatarajiwa kuchezwa kwa timu ambayo itatinga hatua ya fainali. Mshindi wa mchezo wa leo anatarajiwa kucheza na mshindi wa…

Read More

KAKOLANYA KUPEWA MAJUKUMU YA MANULA

 IMEELEZWA kuwa kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya ameandaliwa kubeba mikoba ya Aishi Manula kwenye mchezo wa leo hatua ya nusu fainali. Simba ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo ambao unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa CCM Kirumba. Taarifa zimeeleza kuwa Manula yeye alipata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold…

Read More