WAAMUZI WA YANGA V SIMBA CCM KIRUMBA HAWA HAPA

WAAMUZI wa mchezo wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba tayari wamewekwa wazi leo.  Ni Ahmed Arajiga kutoka Manyara atakuwa mwamuzi wa kati kuweza kusimamia sheria 17 za mchezo huo. Pia Mwamuzi msaidizi atakuwa Frank Komba na mwamuzi msaidizi namba 2 ni Mohamed Mkono huku yule wa akiba akiwa ni Elly Sasii…

Read More

MATAIFA MATATU YAUNGANA KUIFUNGA YANGA

ILIBIDI mataifa matatu yaungane kuifunga Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa juzi,Uwanja wa CCM Kirumba na kutibua rekodi ya dk 450 ya timu hiyo kutoruhusu bao. Ni pasi ya kiungo Shaban Ada ambaye huyu ni mzawa alitoa pasi kwa Ambrose Awio raia wa Uganda kisha akampa pasi Collins Opare raia wa Ghana aliyeweza…

Read More

JINA LA MAYELE LAJADILIWA KAMBINI SIMBA

Jina la Mayele lajadiliwa kambini Simba Na Ibrahim Mussa KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amefichua kuwa amewaonya mabeki wa timu hiyo, wakiwemo Henock Inonga na Joash Onyango kuongeza umakini juu ya washambuliaji wa Yanga wakiongozwa na Fiston Mayele. Simba wanatarajia kucheza na Yanga katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA unaotarajia kupigwa…

Read More

SIMBA KUTUMIA MBINU ZA CAF KUIKABILI YANGA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa watatumia uzoefu ambao wamepata kwenye mechi za kimataifa kuweza kuwakabili Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho.   Yanga ilitangulia katika hatua ya robo fainali kwa ushindi mbele ya Geita Gold hivyo itakutana na Simba katika mchezo wa nusu fainali Mei 28,Uwanja wa…

Read More

GEORGE MPOLE: UFUNGAJI BORA NI SUALA LA MUDA TU

STRAIKA mzawa ambaye anafanya vizuri kwa sasa kwenye Ligi Kuu Bara, George Mpole anayekitumikia kikosi cha Geita Gold, amefunga mabao 14 msimu huu. Mpole alijiunga na Geita Gold mwanzoni mwa msimu huu akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Polisi Tanzania kumalizika ambapo huko hakuwa na wakati mzuri. Spoti Xtra limefanya mahojiano na Mpole…

Read More

DOTTO SHABAN BEKI PRISONS ANAAMINI WATABAKI LIGI KUU

KWENYE upande wa ukuta taratibu Tanzania inazidi kuwa imara ambapo kwenye timu ya taifa uhakika uwepo wa Bakari Mwamnyeto,Shomari Kapombe na Mohamed Hussein huku ngoma nzito ikiwa upande wa washambuliaji. Wakati tatizo la ushambuliaji likitafutiwa tiba,kuna kijana mwingine wa kazi katika eneo la ulinzi anaitwa Dotto Shaban yupo zake ndani ya kikosi cha Tanzania Prisons….

Read More

IHEFU WAKABIDHIWA UBINGWA WA CHAMPIONSHIP

KLABU ya Ihefu imekabidhiwa Kombe lao la ubingwa wa Championship baada ya kumalizika kwa mchezo maalumu dhidi ya DTB uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Katika mchezo huo uliochezwa jana Mei 24, DTB iliweza kushinda bao 1-0 lakini haikuweza kutibua furaha ya mabingwa hao wanaonlewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila. Timu zote mbili zitashiriki Ligi Kuu Bara…

Read More

KILA KITU KIWE KWA MIPANGO LALA SALAMA KWENYE LIGI

KWA sasa kila mtu anaona namna ligi ilivyo huku kila mmoja akipambana kutimiza malengo yake binafsi pamoja na ya timu ambayo haya ni muhimu kuweza kupatikana kisha mchezaji itakuwa ni baadaye katika kufanya majukumu yake. Pongezi kubwa kwa makocha kwa msimu huu wameweza kwenda na ile kasi ambayo walianza nayo tangu mwanzo wa msimu mpaka…

Read More

8 BORA LIGI YA SOKA LA UFUKWENI KUANZA

LIGI Kuu ya Soka la Ufukweni inatarajiwa kuanza rasmi baada ya uchaguzi wa timu zilizoingia 8 bora kumalizika na mashindano hayo yataaza kufanyika Juni 10 katika Viwanja vya Coco Beach. Katika hizo timu zilizochaguliwa 8 bora zimepangwa katika makundi mawili kila kundi lina timu nne na kwa siku zitachezwa mechi nne ili fainali iweze kufanyika…

Read More

PRISONS YATUMA UJUMBE HUU KWA GEITA

 KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa kesho, Mei 26, Uwanja wa Sokoine,Mbeya, Kocha Mkuu wa Prisons, Patrick Odhiambo amesema wamejipanga vizuri kupata alama tatu. Prisons imekuwa kwenye mwendo wa kusuasua ndani ya ligi kwenye msimamo ipo nafasi ya 15 ikiwa na pointi 24 kibindoni. Mchezo…

Read More

MBAPPE AFUNGUKA SAINI YAKE KUWINDWA NA LIVER

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya PSG, Kylian Mbappe raia wa Ufaransa amesema kuwa Liverpool walihitaji saini yake ili kuweza kumpata. Mbappe ambaye tayari ameshazima tetesi zote kwa kusaini dili jipya ndani ya PSG amesema kuwa aliwahi kuzungumza na Liverpool kwa ajili ya kuweza kucheza hapo. “Tulizungumza kidogo,(Liverpool) lakini siyo sana, tulizungumza kidogo. Mbappe amefunguka kuwa Liverpool…

Read More