
SERENGETI GIRLS WAREJEA SALAMA TANZANIA
LEO Mei 24 Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wasichana U 17 Serengeti Girls baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Amaan Abeid Karume, Zanzibar wakitokea Cameroon walikokwenda kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Cameroon. U 17 waliweza kupeperusha vema Bendara ya Tanzania ambapo walipata ushindi wa mabao 4-1 katika mchezo huo…