KATIBU Mkuu wa TFF Kidao Wilfred anaamini kwamba safari ya kufuzu Kombe la Dunia licha ya Timu ya Taifa Wasichana U17 Serengeti Girls kushinda mabao 4-1 mbele ya Cameroon huko Yaoundé, Cameroon bado haijaisha.
Vijana hao wana kazi ya kucheza mchezo wa marudio Uwanja wa Mkapa ili kuweza kukata tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia.