BAADA ya Yanga kushinda jana mbele ya Dodoma Jiji kwa ushindi wa mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na kufikisha pointi 60, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa wataendelea kufanya vizuri.
Kwa upande wa mshambuliaji mwenye mabao 12 na pasi tatu za mabao, Fiston Mayele ameweka wazi kwamba muda wa kutetema unakuja.