MIAKA MITANO YA SPORTPESA TANZANIA… WATUMIA SH 1.6BIL UKARABATI UWANJA WA MKAPA

“HAYA mafanikio tuliyoyapata SportPesa kwa kipindi cha miaka mitano tuliyoyaanza Mei 9, 2017, tumepanga kuyaendeleza zaidi ya hapa. “Kikubwa tunataka kuona tunaendelea kuongoza hapa nchini katika uendeshaji kwa kuanzia mifumo mbalimbali ikiwemo kuweka uwazi kwa washindi na kisasa kabisa kutoka 20% hadi kufikia 40%. “Tunataka akifikiria kucheza ubashiri, basi afikirie kucheza na SportPesa na sio…

Read More

GUARDIOLA: KDB ANAFURAHIA KUFUNGA

PEP Guardiola,Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa ni lazima nyota wake Kevin De Bruyne,(KDB) awe kwenye furaha kubwa kutokana na kutumia uwezo wake kufunga mabao kila anapopata nafasi. Kevin De Bruyne alitupia mabao 4 mbele ya Wolves wakati timu hiyo ikishinda mabao 5-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England na kuweza kusepa na pointi…

Read More

AZAM FC :TUMEKUWA NA MSIMU MBAYA

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umekuwa na msimu mbaya ndani ya 2021/22 kutokana na kushindwa kupata matokeo wanayohitaji kwenye mechi zake.  Chini ya Kocha Mkuu, Abdi Hamid Moallin juzi ikiwa Uwanja wa Sokoine ubao ulisoma Mbeya City 2-1 Azam FC na kuwafanya wayeyushe pointi tatu mazima. Msemaji wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema…

Read More

ISHU YA TAMMY KURUDI ENGLAND NGOMA NZITO

IMEELEZWA kuwa mshambuliaji wa kikosi cha AS Roma, Tammy Abraham yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya kikosi cha Arsenal kinachoshiriki Ligi Kuu England huku bosi wake akiweka wazi kwamba hadhani kama anaweza kurudi huko. Roma ilimsajili Tammy msimu uliopita akitokea Chelsea na ilikuwa ni baada ya Kocha Mkuu Jose Mourinho kujiunga na timu hiyo….

Read More