MBEYA CITY WANATAKA TANO BORA
MATHIAS Lule, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema malengo ni kuona kikosi hicho kinamaliza ndani ya tano bora kwa msimu huu wa 2021/22. Ni mechi sita imeshinda kati ya 21 ambazo imecheza kwa msimu huu ndani ya ligi ambao umekuwa na ushindani mkubwa. Imekusanya pointi 28 ipo nafasi ya 5 huku kinara akiwa ni Yanga…