KOCHA HITIMANA:TUTAJIPANGA KWA MECHI ZIJAZO
HITIMANA Thiery,Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa watajipaga kwa ajili ya mechi zijazo baada ya leo kupata sare. Ikiwa Uwanja wa Uhuru, KMC ilitoshana nguvu ya bila kufungana na Namungo FC leo Aprili 3 2022. Thiery ambaye alikuwa pia ni kocha wa Namungo FC amesema kuwa hakuwa na chaguo kwa kuwa walipata nafasi lakini wakashindwa…