DJUMA APEWA KAZI NYINGINE YA MAYELE NA NTIBANZOKIZA
BEKI mkongwe wa Yanga, Mkongomani, Shaaban Djuma, amepewa majukumu mapya ya kupiga penalti zote itakazozipata timu hiyo inayowaniwa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Aprili 6,2022 Djuma alipiga penalti na kufunga bao la kwanza dhidi ya Azam katika ushindi wa 2-1, Chamazi. Hiyo ni penalti ya pili kwa beki huyo kuipiga katika msimu huu tangu ajiunge…