SIMBA:BILA VAR,TUNGEKUWA NUSU FAINALI AFRIKA
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa isingekuwa ni matumizi ya teknolojia ya Video Assitance Referee, (VAR) Simba ingekuwa imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Aprili 24, wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa walitolewa kwenye hatua ya robo fainali kwa changamoto za mikwaju ya penalti mbele ya Orlando Pirates ambao…