
BEACH SOCCER LEO TIMU ZATOA ZAWADI YA PASAKA
LIGI ya Beach Soccer imeendelea leo katika viwanja vya Coco Beach ambapo mechi za makundi mawili A na B zilichezwa. Ulianza mchezo wa Kundi A kati ya Ilala v PCM ambapo baada ya mchezo kukamilika ubao ulisoma Ilala 7-7 PCM na mshindi alipatikana kwa penalti na ni Ilala ilishinda penalti 5-3 PCM. Mchezo wa kundi…