SIMBA KUWA TIMU YA KWANZA KUTUMIA VAR BONGO

WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye mashindano ya kimataifa wanakwenda kuandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza kutumia mfumo wa msaada wa VAR kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Tokea VAR ianze kutumika katika mchezo wa soka duniani, haijawahi kutumika kwenye Uwanja wowote nchini na Simba iliyofikia hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho…

Read More

MBEYA KWANZA SIYO YA KWANZA KWA SASA

MBEYA Kwanza yenye maskani yake Mbeya kwa sasa sio ya kwanza kwa timu ambazo zina maskani yake kwenye mkoa huo wenye madhari ya kijani. Kwa sasa kwenye msimamo inaburuza mkia ikiwa imekusanya pointi 14 baada ya kucheza mechi 19. Safu ya ushambuliaji ya Mbeya Kwanza imetupia mabao 14 ikiwa imeshinda mechi 2 pekee za ligi….

Read More

YANGA YAPANIA KUSEPA NA UBINGWA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpango kazi wao namba moja ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Simba. Kwenye msimamo, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ni namba moja ikiwa na pointi 51 baada ya kucheza mechi 19 ndani ya Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari…

Read More

CHILUNDA NJE YA UWANJA WIKI NNE

NYOTA wa Klabu ya Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kupata majeraha ya goti wakati timu hiyo ilipokuwa inajiandaa kucheza na Klabu ya DTB mchezo wa kirafiki. Chilunda aliongozana na Daktari wa Timu Dkt Mwanandi Mwankemwa na kuibukia Cape Town, Afrika ya Kusini kwa ajili ya…

Read More

KUMALIZA TOP 4 KWA TOTTENHAM KUNAMTEGEMEA KANE

PAUL Merson kiungo wa zamani wa Arsenal amesema kuwa wapinzani wake wa zamani Tottenham Hotspur wana nafasi ya kumaliza ndani ya Top 4 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Nyota huyo ameweka wazi kuwa ikiwa mshambuliaji wa timu hiyo Harry Kane akiumia mambo yatakuwa ni magumu zaidi kwao. Ikumbukwe kwamba hata Arsenal inawania nafasi ya…

Read More

KAMPUNI YA MERIDIANBET TANZANIA YATOAMKONO WA POLE

Ni desturi ya kampuni ya Meridianbet kurudisha kwa jamii inayoizunguka. Katika kuendeleza utamaduni huu, Meridianbet inaungana na familia ya Bi. Zainabu Mohamed ambaye anasumbuliwa na tatizo la kansa.   Bi. Zainabu ambaye ni mkazi wa Buza, Dar es Salaam, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa takribani miaka 2 tatizo ambalo linamfanya ashindwe kukaa au kusimama na…

Read More