SIMBA YAIPIGA 4G USGN KWA MKAPA
UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 4-0 USGN katika mchezo wa makundi. Watupiaji kwa Simba ni Sadio Kanoute dk 63,Chris Mugalu dk 68 na 78 na kipa wa USGN alijifunga dk 84. Simba ipo nafasi ya pili na pointi 10 kundi D sawa na RS Berkane. Timu mbili zinapita zote zikiwa zimekusanya pointi 10…