
UWEZO WA MAYELE WAMVUTA WINGA AS VITA
KAMA ulikuwa unahisi mshambuliaji Fiston Mayele anawapa furaha mashabiki wa Yanga na kuishia tu hapa nchini, basi utakuwa unajidanganya. Hiyo ni baada ya Spoti Xtra kufanya mazungumzo na winga wa AS Vita ya DR Congo, Glody Makabi Lilepo ambapo ameweka wazi matamanio yake ya kutaka kucheza na Mayele ndani ya Yanga. Mayele ambaye amejiunga na…