NG’OMBE WA MAYELE ATUA DAR LEO
SHABIKI wa Yanga kutoka Morogoro aliyeahidi kumzawadia mchezaji Fiston Mayele Ng’ombe mmoja baada ya kufunga bao katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar, ametimiza ahadi na kumfikisha Ng’ombe huyo leo Machi 14, 2022. Ni katika makao makuu ya Klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es Salaam zawadi imefika kwa ajili ya kutimiza ahadi ya muda kidogo….