YANGA YASHINDA 3-2 MAFUNZO FC,BALAMA ATUPIA

MECHI ya kirafiki imekamilika Uwanja wa Azam Complex leo Machi 30 ambapo Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mafunzo FC. Mabao yamefungwa na Mapinduzi Balama dk ya 19 Heritier Makambo dk ya 52 na lile la ushindi limefungwa na Fiston Mayele dk ya 71 kwa mkwaju wa penalti ilikuwa ni kwa upande…

Read More

NYOTA YANGA PRINCESS SAFARI ULAYA IMEIVA

MCHEZAJI wa Yanga Princess na Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars Asha Masaka leo Machi 30,2022 ameanza safari kuelekea Sweden. Mshambuliaji huyo anakwenda kuanza changamoto mpya za maisha katika Klabu ya BK Hacken ya nchini Sweden. Timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Sweden itakuwa na nyota huyo mzawa ambaye alikuwa ni chaguo…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA HATIHATI KUIKOSA AZAM

IMEFAHAMIKA kuwa, kiungo tegemeo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amepata majeraha yaliyomfanya aondolewe kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, hivyo kuna uwezekano mkubwa akaikosa mechi ijayo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam itakayochezwa Aprili 6, mwaka huu. Kwa sasa Taifa Stars ipo kambini kwa ajili ya kucheza mechi za…

Read More