FEISAL ALINYOOSHWA MBELE YA KMC
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum alikiona cha moto juzi wakati timu yake ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya KMC kutokana na kuchezewa faulo za kutosha. Rekodi zinaonyesha kwamba Fei alichezewa jumla ya faulo 4 zote ilikuwa ni kipindi cha kwanza jambo lililofanya ashindwe kuwa kwenye mwendo ambao alikuwa ameuzoea. Alikuwa kwenye vita kali na nyota…