
NYOTA ASHA WA YANGA PRINCESS KUCHEZA ULAYA
NYOTA wa kikosi cha Yanga Princes, Aisha Khamis Masaka amepata dili la kucheza soka la kulipwa katika Klabu ya BK Hacken FF ya nchini Sweden. Nyota huyo ni miongoni mwa mastaa ambao walikuwa wakifanya vema kwenye Ligi ya Wanawake Tanzania na alikuwa anaitwa Asha Magoli kutokana na uwezo wake wa kucheka na nyavu. Taarifa rasmi…