MIPANGO INAHITAJIKA KIMATAIFA KUPATA MATOKEO

KUSHINDWA kupata matokeo kwenye mechi moja ugenini haina maana kwamba kazi imekwishwa na hakuna uwezo wa kupata ushindi kwa mechi zijazo hapana. Ipo wazi kwamba ilikuwa kazi kubwa kusaka pointi ugenini mwisho wa siku wawakilishi wetu kwenye mashindano ya kimataifa wakapata pointi moja kati ya sita ambazo walikuwa wanazisaka. Makosa yapo na nina amini kwamba…

Read More

TANZANIA PRISONS BADO WAPO PALEPALE

LICHA ya kupata pointi moja mbele ya Mtibwa Sugar bado Tanzania Prisons inabaki palepale ilipokuwa nafasi ya 16 baada ya kucheza mechi 17. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Sokoine ulisoma Prisons 0-0 Mtibwa Sugar. Mtibwa Sugar pia inafikisha pointi 16 katika msimamo ipo nafasi ya 12 na imecheza mechi 17. Prisons…

Read More

MSHAMBULIAJI WA SIMBA AKUBALI UWEZO WA MAYELE,AMPA TUZO

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba ambaye hivi sasa anacheza Kagera Sugar, Mganda, Hamis Kiiza ‘Diego’amesema kuwa Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga ana uwezo mkubwa wa kucheza na kufunga. Kiiza aliyewahi kuichezea Yanga kabla ya kwenda Simba, alitoa kauli hiyo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Februari 27,2022….

Read More

ABRAMOVICH ATHIBITISHA KUIWEKA SOKONI CHELSEA

ROMAN Abramovich usiku wa Jumatano kwa hisia amethibitisha kwamba yupo kwenye mpango wa kuiuza timu hiyo. Abramovich ameamua kuuvunja ukimya baada ya taarifa kuwa nyingi zikieeleza kwamba tayari timu hiyo ipo sokoni. MailOnline mapema Jumatano iliripoti kwamba Chelsea imewekwa sokoni na kiasi ambacho kilikuwa kinahitajika ni Euro bilioni 3. Abramovich usiku uliopita amesema:”Nimeamua kuchukua maamuzi…

Read More