MERSON:SAKA NA EMILE WAPEWE MIKATABA YA KUDUMU
MKONGWE wa Arsenal, Paul Merson, amesisitiza klabu hiyo inatakiwa kufanya haraka kuwaongezea mikataba nyota wa kikosi hicho, Bukayo Saka na Emile Smith Rowe. Kwa msimu huu wa 2021/22 Saka na Smith Rowe wamekuwa chachu ya mafanikio ndani ya Arsenal chini ya Kocha Mkuu, Mikel Arteta. Merson amesema nyota hao wamekuwa muhimu ndani ya kikosi hicho…