MAKATA AFUNGASHIWA VIRAGO DODOMA JIJI
MBWANA Makata, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji yenye maskani yake Dodoma ameondoolewa katika nafasi hiyo kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo. Mchezo wa mwisho kukaa kwenye benchi ilikuwa ni Februari 20 uliochezwa Uwanja wa Azam Complex na ubao ulisoma KMC 2-0 Dodoma Jiji na kufanya wapoteze pointi tatu mazima. Ndani ya michezo mitano…