YANGA KUIFUATA GEITA GOLD FULL MUZIKI
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zijazo na kurejesha shukrani kwa mashabiki ambao wamekuwa wakijitokeza kwa wingi uwanjani. Manara amesema:”Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya matokeo ambayo tunayapata kwenye mechi zetu za Kombe la Shirikisho pamoja na mechi za ligi. “Ushindi huu unahanikizwa na kila Mwanayanga…