
NABI:MIMI NI MTU WA KAZI SIO MANENOMANENO
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa yeye ni mtu wa mpira na hapendi manenomaneno. Timu hiyo kwa sasa inaendelea na maandalizi kuelekea katika mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki pamoja na wadau wa mpira. Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 19 inatarajiwa kumenyana na Simba iliyo…