RASMI kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Red Arrows , Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni mchezo wa Kombe la Shirikisho:-
Aishi Manula
Pascal Wawa
Joash Onyango
Israel Mwenda
Mohamed Hussein
Jonas Mkude
Hassan Dilunga
Sadio Kanoute
Meddie Kagere
Bernard Morrison
Rally Bwalya