AICHAT ASHINDA JACKPOT YA SPORTPESA MKWANJA WAKE NOMA

WASHINDI wamezidi kupewa mkwanja kutoka Sportpesa Jacpot bonus baada ya kuweza kushinda.

Yote hii inatokana na kuweza kubashiri kwa usahihi mechi ambazo zinaendelea kwa sasa.

Pichani ni mshindi wa Sportpesa Jackpot bonus Aichat Haroun Abdallah(23) kutoka Kigamboni, DSM akishikilia mfano wa hundi ya shilingi 6,753,390 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita.

Jackpot ya wiki hii inayoshindaniwa ni shilingi 710,494,580.