>

FEI TOTO ATOA SIRI YA MABAO YA KIDEONI

KIUNGO mzawa wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amebainisha kuwa amezoea kufunga mabao magumu jambo ambalo halikumpa shida kuwatungua KMC.   Nyota huyo ambaye juzi Jumanne alifunga bao la kideoni nje ya 18 na kutoa asisti katika ushindi walioupata Yanga wa mabao 2-0, amesema ataendelea kufunga kwa staili hiyo kila akipata nafasi.   Akizungumza na…

Read More

KIKOSI BORA CHA LIGI YA WANAUME

Utoaji wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake. Kikosi bora cha Ligi ya Wanaume 1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3….

Read More