MAYELE NA KAGERE WAPO KWENYE VITA YAO

WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana na kasi yao ya kutupia kwa Fiston Mayele wa Yanga na Meddie Kagere wa Simba kuzidi kuwa kubwa. Mfalme kwenye suala la kutupia kwa msimu uliopita ni nahodha wa Simba, John…

Read More

VIDEO:DOZI YA PABLO KWA WAWA,KAGERE,MUGALU IPO HIVI

NYOTA wa Simba chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco wanaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari Mosi 2022. Miongoni mwa wachezaji ambao wanapewa dozi na Pablo ni pamoja na beki Pascal Wawa, Henock Inonga, Jonas Mkude, Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Read More

STARS KUKWEA PIPA BAADA YA MECHI

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Novemba 11 ikimaliza kazi mbele ya DR Congo, itaelekea Madagascar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo utakaopigwa Novemba 14, 2021 kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia Qatar 2022, ambapo Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imetoa ndege kuelekea mechi hiyo.   Katibu Mkuu…

Read More