VIDEO:KOCHA SIMBA:AZAM FC INA WACHEZAJI WAZURI

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Azam FC ni moja ya timu imara na ina wachezaji wazuri hivyo kuelekea kwenye mchezo wao wa kesho Januari Mosi 2022 wanatarajia kupata upinzani mkubwa. Aidha Pablo amebainisha kwamba ambacho wanahitaji kwenye mchezo huo ni ushindi kwa kuwa maandalizi yameanza kwa muda mrefu na wachezaji wanatambua kwamba…

Read More

BARAZA:TUPO TAYARI KUIKABILI SIMBA

FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaoatarajiwa kuchezwa kesho, Desemba 18. Itakuwa ni Uwanja wa Kaitaba ambapo tayari timu ya Simba imeshawasili Bukoba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho wa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa….

Read More

VIDEO:BEKI YANGA:HAKUNA KAMA OKWI

BEKI wa zamani wa kikosi cha Yanga, Nadir Haroub, ‘Canavaro’ ameweka wazi kuwa kwa zama ambazo alikuwa akicheza yeye mpira wa ushindani bado hajaona ambaye ameweza kumfikia nyota wa zamani wa Simba Emanuel Okwi. Canavaro amebainisha kwamba hawezi kusema maneno mengi zaidi ya kusema kwamba hakuna kama Okwi.

Read More