
SIMBA QUEENS YAPOTEZA KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimatafa Simba Queens wamepoteza mchezo wa nusu fainali kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Kenya Police Bullets uliochezwa Uwanja wa Abebe Bikila, Ethiopia. Simba Queens ilikuwa inachuana kuwania tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao kupitia kwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa). Kupoteza kwenye…