
YANGA WANA JAMBO LAO KUBWA
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wana jambo lao kubwa Juni 9 2024 ambapo ni Mkutano Mkuu wa Wanachama, (Annual General Meeting-AGM). Ni wazi kwamba chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga imetwaa taji la Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 80 na ilitwaa taji la CRDB Federation Cup kwa ushindi dhidi ya Azam…