
MWAMBA ALIYEWATIKISA AL AHLY NDANI YA YANGA
KATIKA Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Al Ahly Waarabu wa Misri walikuwa ni imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na ukuta wao kutoruhusu mabao mengi ya kufungwa katika mechi za ushindani. Rekodi zinaonyesha kuwa mabingwa hao ambao walimenyana na Simba kwenye hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika walifugwa bao moja pekee…