
WIKI YA MOTO, NGAO YA JAMII HII HAPA
WIKI hii ni yamoto kutokana na matukio yake kuwa bamba kwa bamba kutokana na kila timu kuwa kazini ikiwa ni kuelekea katika msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kuwa kutakuwa na Big Day ya ni Agosti 10 2024 Uwanja wa Liti ambapo tayari tiketi zimeanza kuuzwa kuelekea kwenye tamasha hilo…