
KIVUMBI KLABUNI: KOMBE LA DUNIA LA VILABU KUANZIA KESHO MAREKANI
Michuano ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu imefika ambapo kivumbi kitaanza hapo kesho nchini Marekani. Ubashiri wako pekee unaweza kubadilisha maisha yako timu 32 anatafutwa bingwa mmoja. Unangoja nini wakati ndio huu sasa. Timu hizo 32 ambazo zitakuwa zikishiriki michuano hii zitatoka kwenye mabara tofauti ambapo Bara la Ulaya UEFA (EUROPE) litatoa timu 12…