
AZAM FC KWENYE MPANGO MKUBWA MSIMU MPYA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa msimu mpya wa 2025/26 watafanya kazi kubwa kuleta ushindani kutokana na uwepo wa wachezaji wenye uwezo mkubwa na uzoefu. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Florent Ibenge imeweka kambi nchini Rwanda kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya. Miongoni mwa wachezaji wapya waliopo katika kikosi hicho ni Himid…