
SIMBA WAKALI NDANI YA 18
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni wakali wa kufunga mabao mengi ndani ya 18 katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 ambao una ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Ndani ya NBC Premier League ni mabao 19 mastaa wa Simba wamefunga ikiwa ni namba moja katika timu zilizofunga mabao mengi…