
NIFFER na DIVA WAMEKAMTWA na POLISI DAR – AFANDE MULIRO ATOA TAARIFA WANAOCHANGISHA PESA za KARIAKOO – VIDEO
Jeshi la polisi jijini limethibisha kuwakamata watuhumiwa wawili Diva Gissele Malinzi (Diva the Bawse) pamoja na Jenifer Bilikwija (Niffer) kufuatia tuhuma za kukusanya pesa kinyume na Sheria.