
UEFA: LIVERPOOL YAWAPIGA REAL MADRIDI 2-0
Liverpool imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi, Real Madrid kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Aston Villa wakitoshana nguvu na Juventus kwa sare tasa katika dimba la Villa Park. Liverpool ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 2-0 ๐ช๐ธ Real Madrid 52โ Mac Allister 77โ Gakpo ๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐: #UCL ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Aston Villa 0-0 Juventus ๐ฎ๐น ๐ฎ๐น…