
YANGA WAPIGA HESABU ZA KIMATAIFA
NAHODHA wa Yanga, Bakari Nondo amesema kuwa makosa ambayo yalitokea kwenye mchezo uliopita ugenini licha ya kupata ushindi yamefanyiwa kazi na benchi la ufundi hivyo wataingia uwanjani wakiwa na hesabu za kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kimataifa. Septemba 21 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi itakuwa Uwanja wa New Amaan Complex kusaka ushindi…