
SIMBA: UBAYA UBWELA UNAZIDI, YATUPA DONGO YANGA
AHMED Ally, Meneja wa Habari Simba ameweka wazi kuwa wanaosema kuwa wanafanya malipo ili wasemwe vizuri hilo sio kweli huku akibainisha kuwa nyota wao Jean Ahoua akizidi kuwa bora kila wakati kutokana na ubora alionao.