
MAXI NZENGELI BALAA ZITO
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga Maxi Nzengeli ana balaa zito uwanjani kutokana na kuwa na uwezo wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao kwenye mechi za ushindani msimu wa 2024/25 akiwa namba moja kwa wakali wa kutupia ndani ya Yanga kwenye ligi. Ni mabao matatu anayo kibindoni akiwa amefunga mabao hayo ugenini bao moja na Uwanja…