
MASHABIKI NANE WA SOKA KWENDA DUBAI KUPITIA PROMOSHENI YA PARIMATCH NA AIRTEL
JUMLA ya mashabiki nane wa soka watapata fursa ya kutembelea nchini Dubai endapo watashinda tiketi kupitia promosheni ya Dubai Kumenoga ilitoziduliwa na Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch kwa kushirikiana na Airtel Tanzania kupitia huduma za Airtel Money. Promosheni hiyo ni muendelezo wa kampeni kubwa iliyomalizika ya Zigo la Euro 2024 nchini Ujerumani ambapo mashabiki…